

Description
‘Je, huu ni uungwana?’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya shajara, tawasifu, barua, utambaji wa hadithi, mbinu rejeshi, hotuba kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dagolojia, misemo, methali, taharuki, tashihisi, tanakati za sauti, kejeli, vichekesho na picha za rangi zenye kusisimua. Kuwapitisha na kuwatea wanafunzi katika mazingira ya afya, madawa ya kulevya, siasa, unyumba, ujirani mwema, uvumilivu, uadilifu, haki za watoto, kazi, uwajibikaji, utu, adabu, teknolojia, habari na mawasiliano.
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9780195733051
- SKU
- 9780195733051
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Oxford Univeisty Press East Africa
- Language
- English
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Je, Huu ni Uungwana?
Mambo Mbotela
- Language:
- English
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Je, Huu ni Uungwana?
KES 360.00





