Skip to main content
Cover of Kauli ya Leo
Description

Kauli ya Leo ni diwani yenye mashairi arobaini, yakiwemo ya kiarudhi na huru. Mashairi katika diwani hii yameangazia masuala mbalimbali yanayoikumba jamii ya leo, kama vile majukumu ya kijinsia, utunzaji wa maliasili, uhuru wa wanyama, haki za watoto, teknolojia, magonjwa, lishe bora, usalama na uongozi bora. Mashairi katika diwani hii yatamsaidia mwanafunzi kufikia matarajio yaliyowekwa na mtaala wa Gredi ya Tisa kuhusu vipengele vya ushairi, yaani wahusika, maudhui, dhamira, mbinu za lugha na muundo. Vilevile, yatawapa wanafunzi mtazamo mpana wa maisha pamoja na kuwapa changamoto ya kuwa wananchi waadilifu na wazalendo. Watunzi wa mashairi haya, Bw. Ahmed Shikuku, Bw. Jackson Muraya, Bi. Ruth Omache na Bw. Evans Osoro, ni walimu wenye tajriba pana katika ufundishaji wa Kiswahili. Diwani hii ina kiambatisho cha kidijitali ambacho kina maelezo ya kina kuhusu vipengele vya uchambuzi wa mashairi, uchambuzi wa baadhi ya mashairi pamoja na mazoezi ambayo yanaakisi matokeo maalumu katika mtaala wa Gredi ya 9 katika ushairi. Pia kina rekodi za mashairi hayo yakikaririwa au kughaniwa. Maelezo hayo yako kwenye Msimbo huu wa QR.

More details
Format
Paperback
ISBN
9789914442892
SKU
9789914442892
Delivery type
physical
Publisher
Oxford University Press
Language
English
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Kauli ya Leo

Ahmed Shikuku

Author:
Evans Osoro, Ruth Moraa, Jackson Muraya
Language:
English
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Kauli ya Leo

KESĀ 371.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Kauli ya Leo | eKitabu