

Description
Vitabu vya Nyota vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifurtza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni lie yenye kuvutia na hadithi zenyewe ni za kuburudisha. Hapo kale Mwewe na Kuku walikuwa marafiki wa kufa kuzikana.lakIni urafiki wao ullgonga ‘mamba siku moja na wakawa maadui wakubwa. Kisa kilichosimuliwa katika kitabu hiki kinafichua kiini cha uadui huo. Msomaji pia anafunzwa mengi na kisa hicho kuhusu maisha.
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966254672
- SKU
- 9789966254672
- Delivery type
- physical
- Publisher
- East African Educational Publishers
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Kisa cha Kuku na Mwewe
H. T Chowo
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Kisa cha Kuku na Mwewe
KES 360.00





