Skip to main content
Cover of Kisasi Hapana
Description

‘Kisasi Hapana!’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi kwa njia ya barua ya kirafiki, utambaji hadithi, hadithi ndani ya hadithi na usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja. Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashbihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswali ya balagha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na vijijini, michezo, afya, umuhimu wa elimu, kuwaheshimu watu wazima na wazazi, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu na haki za watoto.

More details
Format
Paperback
ISBN
9780195734331
SKU
9780195734331
Delivery type
physical
Publisher
Oxford University Press East Africa
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Kisasi Hapana

Ken Walibora

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Kisasi Hapana

KES 360.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Kisasi Hapana | eKitabu