Skip to main content
Cover of KLB Eye Lower Primary Kiswahili Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Grade 1
Description

Kitabu cha Mwanafunzi, Kiswahili Mazoezi ya Lugha, Toleo la Tatu kinakusudiwa kumsaidia mwanafunzi wa Gredi y kujifunza stadi nne za lugha. Stadi hizi zimezingatiwa katika Mtaala wa Kiswahill Mazoezi ya Lugha. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kukuza umilisi wa kimsingi, maadili na masuala mtambuko. Aidha, shughuli mbalimbali za ujifunzaji zinazompatia mwanafunzi nafasi ya kuingiliana na Lugha ya Kiswahili kimuktadha zimezingatiwa. Sifa za kipekee katika kitabu hiki ni pamoja no: • Mbinu jumuishi katika ujifunzaji lugha kupitia kupokea na kutumia stadi za lugha, • Ujumuishaji wa kimakusudi unaolenga umilisi wa kimsingi, maadili na masuala mtambuko, • Uwasilishaji wa kimantiki na wa kuvutia kwenye shughuli za ujifunzaji, • Hadithi faafu kwa mwanafunzi wa Gredi ya Kwanza.

More details
Format
Paperback
ISBN
9789966659620
SKU
9789966659620
Delivery type
physical
Publisher
Kenya Literature Bureau
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

KLB Eye Lower Primary Kiswahili Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Grade 1

Kenya Literature Bureau

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

KLB Eye Lower Primary Kiswahili Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Grade 1

KES 522.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
KLB Eye Lower Primary Kiswahili Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Grade 1 | eKitabu