

Description
Mbarouk S. Habib Paukwa Pakawa ni mfululizo wa visa, mikasa na ngano zilizotungwa ili kuwapa watoto wanaochipuka katika mafunzo, chanzo chema. Lugha imerahisishwa na matukio yamepewa msisimuko utakaowafurahisha watoto wote wa nasari, pri-uniti hadi darasa la pili, huku wakijimudu katika kuifahamu lunga ya Kiswahili. Katika Korongo na Kobe, tunawaona marafiki wawili wakitendana. Korongo ajidai ni mwerevu, kumbe Kobe ni mwerevu kumliko. Je, hali inakuwaje? Kisa hiki kitawafunulia mengi watoto kuhusu tabia zao.
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966468017
- SKU
- 9789966468017
- Delivery type
- physical
- Publisher
- East African Education Publishers
- Language
- English
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Korongo na Kobe
Mbarouk S. Habib
- Language:
- English
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Korongo na Kobe
KESĀ 275.00





