

Description
Baba! Angalia ziwani. Kuna viboko! Adamu aliinuka, akasimama haraka huku macho yake yakilenga kule walikoibuka wale viboko. Jelani naye akakurupuka kando ya kaka yake mkubwa. “Jelani, angalia wale viboko kule. Tabia yao si ya kawaida. Wanaonekana wamepagawa,” Adamu alisema huku sura yake Ikifinya. Mishale ya msisimko ilimchoma. “Wamepagawa? Mbona sijakuelewa kaka.” “Kawaida wakiibuka na kuonyesha tabia hiyo, huwa kuna kiumbe mwingine hatari karibu nao,” Adamu alitamka.
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966630032
- SKU
- 9789966630032
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Moran Publishers
- Language
- English
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Miujiza ya Majini
Ali Attas
- Language:
- English
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Miujiza ya Majini
KES 313.00





