Skip to main content
Cover of Mji wa Matarajio
Description

Daktari Jemima aliisoma barua hiyo. Muda wote huo, Herina alikuwa anamtazama tu. Aliona macho ya Jemima yakitua kwenye neno fulani na kumtazama, ila hakujishughulisha kuhusu mtazamo huo. Alimaliza kusoa barua hiyo na kushusha pummzi. Alimtazama Herina, kisha Jeff na hatimaye ile barua. Herina aliona vipira vya machozi vikijitokeza machoni mwa mwajiri wake. Hata hivyo, kwenye vipira hivyo aliona mwanga wa matumaini. Ulanguzi wa binadamu unamnyima Herina nafasi ya kujiendeleza kielimu wakati ufaao. Hata hivyo, Herina anaichukua changamoto hii kama njia ya kuifunza jamii yake kuhusu thamani ya binadamu, hata wale wenye mahitaji maalumu. Herina ni kielelezo cha vijana wanaojiamni na ambao hawakti tamaa hata wanapokabiliwa na changamoto kali. Tembea naye katika hadithi ya Mji ya Matarajio iliujifunze mengi.

Book details
Format
Paperback
ISBN
9789914410068
SKU
9789914410068
Delivery type
physical
Publisher
One Planet
Language
Kiswahili
Publication date
2023-01-01T00:00:00+00:00
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.

Book information

Mji wa Matarajio

Assumpta K. Matei

Author:
Assumpta K. Matei
Language:
Kiswahili
Published:
2023

Paperback

KES 300.00
1

This edition is currently out of stock.

Mji wa Matarajio
KES 300.00
Currently unavailableNo edition is available to buy right now.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.