Skip to main content
Cover of Mradi wa Kusoma 4B - Usicheze na moto
Description

Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi. Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.

More details
Format
Paperback
ISBN
9780195730715
SKU
9780195730715
Delivery type
physical
Publisher
Oxford University Press East Africa
Language
English
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Mradi wa Kusoma 4B - Usicheze na moto

Pamela Ngugi

Language:
English
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Mradi wa Kusoma 4B - Usicheze na moto

KESĀ 261.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Mradi wa Kusoma 4B - Usicheze na moto | eKitabu