

Description
Katika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku.Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo,ndivyo ulivyopanuka.Mti huo ulitisha.Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia. Siku moja vijana wawili wakakamavu waliamua kuukaribia.Je, waliangamizwa na mti huo wa ajabu au walirudi kijijini wakiwa wazima?
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966342508
- SKU
- 9789966342508
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Moran (E.A) Publishers
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Mti wa Ajabu
Mpesha
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Mti wa Ajabu
KES 232.00





