Skip to main content
Cover of Ngamia Mpole
Description

Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole. Yeye hachokozi watu. Hadithi, リNgamia Mpole inawahusu watoto wawili: Bonga na dada yake. Sakina, ambao walibebwa na ngamia wakafurahi sana. Hata hivyo, waliweza kuzungumza na ngamia huyo.

More details
Format
Paperback
ISBN
9789966478702
SKU
9789966478702
Delivery type
physical
Publisher
Phoenix Publishers
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Ngamia Mpole

Author:
Rebecca Nandwa
Language:
Swahili

Paperback

1

Ngamia Mpole

KES 273.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.