

Description
‘Njiapanda’ ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: 1. Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, tamthitia ndani ya hadithi, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia. 2. Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, taknn, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswati ya batagha. taswira na picha za rangi zenye kusisimua. 3. Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya ujana na matatizo yoke, maisha ya nyumbant, shuleni na hospitatini, matezi, afya, umuhimu wa teknotojia, habari na mawasiliano, uwajtbikaji, kazi, utu, uvumilivu, haki za binadamu na haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9780195734430
- SKU
- 9780195734430
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Oxford University Press
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Njia Panda
Boukheit Amana
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Njia Panda
KES 360.00





