Skip to main content
Cover of Oxford Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7
Description

Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 kina: Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimkutadha Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.

Book details
Format
Paperback
ISBN
9789914440218
SKU
9789914440218
Delivery type
physical
Publisher
Oxford University Press East Africa
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.

Book information

Oxford Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7

Ahmed Shikuku

Author:
Ruth Omache, Rose Okelo, Evans Osoro, Alfaxard Chokera
Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Oxford Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7

KES 795.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Oxford Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 | eKitabu