Skip to main content
Cover of Sautififi
Description

Katika ulimwengu ambapo mila aghlabu huzima ndoto, Neelai. msichana kutoka kijiji kidogo, anathubutu kupinga hali hiyo. Akikabiliwa na tishio la ndoa za mapema na desnuri zenye madhara, anaanza safari ya uvumilivu na uwezeshaji. Akiongozwa na mshauri wake. Neelai anageuza mapambano yake kuwa dhamira yenye uthabiti: kuelimisha na kuinua hali za wasichana kama yeye. Baadaye, anakuwa nyota ya matumaini kwa jamii yake. Jiunge na Neelai katika safari yake ya "Kuwezesha Mabadiliko," simulizi ya kusisimua ya ujasiri, uvumilivu na juhudi zisizokoma za kujenga mustakabali mzuri. Sautififi ni hadithi ya harakati ya ukombozi yenye azma ya kuunda ulimwengu ambapo kila msichana ana fursa ya kufanikiwa.

More details
Format
Paperback
ISBN
9789914467437
SKU
9789914467437
Delivery type
physical
Publisher
Storymoja Publishers
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Sautififi

Author:
Evelyne Mwandia
Language:
Swahili
Collection:
Popular Children's Books

Paperback

1

Sautififi

KES 400.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.