

Description
Ikiwa unataka kuwa mwerevu zaidi na mjuzi wa mambo mengi, soma vitabu vingi vya hadithi. Ikiwa unapania kuwa mbunifu ili siku moja uweze kuwa mvumbuzi au mjasiriamali, soma vitabu vingi vya hadithi. Ikiwa unataka kozi yenye mapato mazuri na kuchangia katika maendeleo ya taifa katika siku za usoni, soma vitabu vingi vya hadithi. Jaza shajara yako kila wakati unaposoma. Onyesho wazazi au mlezi shajara yako na uwaambie kuhusu vitabu ambavyo umevisoma. Ilinganishe shajara yako na za marafiki zako kisha msherehekee usomaji wenu iwapo mmesoma vitabu vingi. Kusoma kunowezesha! Kusoma kuna manufaa kwako!
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966622792
- SKU
- 9789966622792
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Storymoja Publisher
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Shajara Yangu Lv 3
Muhiddin Ngashe
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Shajara Yangu Lv 3
KESĀ 580.00





