

Description
Je, unajua kuwa vitabu vya hadithi ni nyenzo za kimsingi katika ujifunzaji na ufundishaji wa lugha? Kusoma vitabu vya hadithi huchangamsha akili, huchochea ubunifu na kukuza fikra tunduizi. Ubunifu na fikra tunduizi ni baadhi ya umilisi wa kimsingi unaoendeleza ujifunzaji wa kudumu katika maisha ya mtu. Shajara Yangu ya Usomaji: Kiwango cha 4 itakusaidia kuimarisha ujuzi wa lugha kwa kukupa maswali ainati ya fasihi, mada za majadiliano na shughuli za kiburudani ambazo zitakuza ari na mikakati yako ya kusoma na kuchambua matini. Kwa kutumia shajara hii, utajifunza kuwasiliana na kushirikiana vyema na wengine huku ukiboresha ujuzi wako wa msamiati na wa kufahamu matini.
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789914469813
- SKU
- 9789914469813
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Storymoja Publisher
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Shajara Yangu Lv 4
Muhhidin Ngashe
- Author:
- Gregory ochieng'
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Shajara Yangu Lv 4
KES 650.00





