Skip to main content
Cover of Stadi za Kiswahili Kiabu cha Mwanafunzi Gredi ya 9
Description

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: • Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 9 • Maswali dadisi yametumiwa kumfikirisha mwanafunzi • Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi • Kimejumuisha mada na mada ndogo zote • Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 9 • Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu • Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 9 • Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi • Kimeshughulikia masuala mtambuko yote • Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi • Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.

More details
Format
Paperback
ISBN
9789966636058
SKU
9789966636058
Delivery type
physical
Publisher
Moran Publishers
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Stadi za Kiswahili Kiabu cha Mwanafunzi Gredi ya 9

Margaret Mukabane et al

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Stadi za Kiswahili Kiabu cha Mwanafunzi Gredi ya 9

KES 975.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Stadi za Kiswahili Kiabu cha Mwanafunzi Gredi ya 9 | eKitabu