

Description
Description: Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: ● Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 5. ● Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo. ● Kimejumuisha shughuli za mwanfunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawili/wawili na za makundi ya wanafunzi. ● Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa muhtasari wa Kiswahili cha Gredi ya 5. ● Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote. ● Yaliyomo yanapangwa kulingana na muundo wa Kiswahili cha Gredi ya 5. ● Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kuvutia na kiwango cha juu. ● Kimeshughulikia matokeo makuu yanayotarajiwa katika Gredi ya 5. ● Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi. ● Kimeshughulikia masuala mtambuko yote. ● Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi. ● Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za kusikiliza na kuzungumza, kusoma na kuandika. ● Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi. ● Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbalim gasonseka kwa urahisi. Haya na mengine mengi yamegandhamiria kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 5 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966632937
- SKU
- 9789966632937
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Moran Publisher
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 5
Mwallimu Kipande
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 5
KES 592.00





