Skip to main content
Cover of Tafakari ya Babu
Description

“Babu yangu aliniambia….” Tafakari ya Babu ni mkusanyo wa visa vifupivifupi ambavyo Bwana Mdoe ameshasimulia ama atasimulia wakati wa kusoma habari.Visa vilivyomo katika kitabu hiki vinasheheni mafunzo mengi mbali na ucheshi wa kuvunja mbavu. Watu wengi wametaka kujua,”Je, huyu babu yako Bwana Mdoe ni mtu halisi anayeishi ama ni mhusika wa kubuni?”Huenda msomaji akang’amua jibu la swali hili na mengineyo baada ya kusoma kitabu hiki

More details
Format
Paperback
ISBN
9789966343314
SKU
9789966343314
Delivery type
physical
Publisher
Moran Publishers
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Tafakari ya Babu

Mdoe Swaleh

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Tafakari ya Babu

KES 313.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.