

Description
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto kusema ukweli kila wakati licha ya hali hiyo. Mwalimu Paka ana wanafunzi wenye bidii masomoni. Tesi ni mmoja wa wanafunzi hao. Anawatuza wanafunzi wake kwa bidii zao. Katika harakati ya kuwatuza, pesa zake zinapotea.Je,ni Tesi ama ni nani aliyezichukua pesa hizo.Je, pesa hizo zitapatikana?
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966621054
- SKU
- 9789966621054
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Storymoja Publishers
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Tesi na Mwalimu Paka
David Nyaga
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Tesi na Mwalimu Paka
KESĀ 420.00





