Skip to main content
Cover of Ujasiri wa Tito
Description

Tito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua. Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa. Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima. Tito aliogopa haya. Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu kali, lakini hakuwa na budi ila kujitwika ujasiri huu. Ilimbidi afanye lolote, ajikakamue, mradi tu ajiokoe! ‘Ujasiri wa Tito’ ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu

More details
Format
Paperback
ISBN
9780195739824
SKU
9780195739824
Delivery type
physical
Publisher
Oxford University Press East Africa
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Ujasiri wa Tito

Pamela Ngugi

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Ujasiri wa Tito

KES 313.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Ujasiri wa Tito | eKitabu