Skip to main content
Cover of Utando Hatari
Description

Dida anajenga urafiki wa dhati na Bobo, mwanafunzi mwenzake. Kupitia kwa Bobo, ambaye alimiliki simumaizi, Dida anapata fursa ya kujionea siyo tu mambo mbalimbali mitandaoni bali pia kuwasiliana na watu mbalimbali. Pale mtandaoni, marafiki hawa wanaajabia jinsi watu walivyoishi maisha mazuri na kuwafanya watake kuwa kama wao. Wanapatana na rafiki wa mtandaoni ambaye anawaahidi ajira yenye malipo mazuri ambayo yatabadilisha maisha yao. Je, watachagua ajira ama masomo? Ni mwajiri gani huyu ambaye atawaajiri katika umri wao mdogo? Ni kazi gani hiyo ambayo watapewa? Utando Hatari ni kisa kilichosimuliwa kwa ufundi wa aina yake. Kinamteka msomaji kutoka mwanzo na kumsafirisha pamoja na wahusika mpaka mwisho wa safari yao. Aidha, kinatahadharisha dhidi ya shinikizo la rika kwa kuonyesha jinsi mashinikizo kama hayo yanavyoweza kumtia mtu kwenye mitego ya wajanja.

More details
Format
Paperback
ISBN
9789914445978
SKU
9789914445978
Delivery type
physical
Publisher
Oxford University Press East Africa
Language
English
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Utando Hatari

Dennis Shonko

Language:
English
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Utando Hatari

KES 430.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.