Skip to main content
Cover of Wema Kasande
Description

Wema Kasande anapojiunga na shule ya upili anapata changamoto nyingi. Wanafunzi wenzake wanamcheka na kumkosesha amani. Yupo pia mwanafunzi mmoja ambaye anamdharau kwa sababu anatoka katika familia maskini. Hata hivyo, kwa msaada wa Roselyne, anagundua kwamba kuna njia rahisi ya kukabiliana na matatizo yake. Je, Roselyne ni nani na anafanya nini ili kumwokoa Wema kutokana na hali yake? Wema Kasande ni kisa cha kusisimua kuhusu mvulana anayepambana kuirejesha hali yake ya kujiamini aliyopokonywa na jamii yake huku akijitahidi kuyaboresha maisha yake na yale ya familia yake. Kisa hiki kitawafaa wasomaji kutambua kwamba hali ngumu hazidumu na kwamba bidii na nidhamu huleta nafuu ya maisha.

More details
Format
Paperback
ISBN
9789966141934
SKU
9789966141934
Delivery type
physical
Publisher
Queenex Publishers
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Wema Kasande

Paul Nganga Mutua

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Wema Kasande

KES 350.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.