Skip to main content
Cover of Zimwi Hilo
Description

Mzee Nuru aliwasimulia wanafunzi hadithi ya kusisimua.Hadithi hiyo inahusu zimwi lililokuwa likiwashambulia wanakijiji wa Pumbao na kuwaua wengi. Zimwi hilo halikuonekana wala kujulikana.Lilisemekana liliishi katika msitu mkubwa uliokuwa karibu na kijiji.Vijana waliamua kulisaka zimwi hilo lakini wakaambulia patupu. Kitendawili cha zimwi kilizua taharuki kijijini.

More details
Format
Paperback
ISBN
978990896540
SKU
978990896540
Delivery type
physical
Publisher
Moran Publishers
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Zimwi Hilo

Mogambi

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Zimwi Hilo

KES 342.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.