Skip to main content
Cover of Zuhura na Zahara Level 6
Description

Zuhura na Zahara ni pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili. Wamelelewa kwa heshima na taadhima na wazazi wao lakini tabia zao hazilingani hata kidogo. Mwana wa mfalme aitwaye Chaka ni mgonjwa na hali yake ni mahututi. Ni lazima binti mmoja katika milki ya Tunu aipate dawa hiyo adimu ili mwana wa mfalme apone. Je, baina ya wasichana hawa ni nani atakayeipata dawa hiyo iliyo kwenye mlima Dongojekundu ? Hii ni hadithi isiyowekeka chini pindi uanzapo kusoma.

More details
Format
Paperback
ISBN
9789966115041
SKU
9789966115041
Delivery type
physical
Publisher
Queenex Publishers LTD
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Zuhura na Zahara Level 6

Yahya Mutuku

Language:
Swahili

Paperback

1

Zuhura na Zahara Level 6

KESĀ 320.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Zuhura na Zahara Level 6 | eKitabu