Nick Learns: We Should be Punctual
By Ekas Books
Queenex Publishers Limited
No price available for your selected region.

Sarufi Dadisi (Gredi ya 4, 5 na 6) ni kitabu cha marudio ya sarufi kilichoandikwa kwa umakini mkubwa ili kuendana kikamilifu na mahitaji ya Mtaala wa Elimu ya Umilisi (CBE). Kitabu hiki kimefanyiwa ufatifi wa kina na kimeshughulikia mtaala mzima wa sarufi kwa shule za msingi. Kimeandikwa kwa namna ya kipekee ya kukidhi mahitaji ya mwanafunzi katika udurusu wake. Isitoshe, kitabu hiki kitamsaidia mwanafunzi kukuza umilisi wa kimsingi pamoja na kupata maarifa na ujuzi ambao utamwezesha kuwa na mtazamo chanya. Katika Sarufi Dadisi (Gredi ya 4, 5 na 6) utapata: maelezo tangulizi kuhusu dhana mbalimbali ili kutoa ufafanuzi kwa dhana hizo. muhtasari wa mambo muhimu ya kukumbuka kuhusu vipengele mahususi. maelezo ya kina ambayo yametolewa kwa lugha sahili inayomwezesha mwanafunzi kuelewa vipengele vyote vya sarufi kwa urahisi. matumizi ya lugha katika muktadha yaliyotiliwa mkazo kuliko ukariri wa kanuni za sarufi. mifano ya kutosha ya matumizi katika sentensi kwa kila mada. shughuli za kutosha pamoja na majibu yake kwenye msimbo wa QR.
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Evans Osoro
Paperback
Oxford Sarufi Dadisi Gredi ya 4,5 na 6

By Ekas Books
Queenex Publishers Limited
No price available for your selected region.

Paperback
By Pauline Kea
Queenex Publishers Limited
Out of stock. No price available for your selected region.
Paperback
By Targeter Educational Publishers
Targeter Educational Publishers
No price available for your selected region.

Paperback
By Anne Kagendo, George Kombo
Queenex Publishers Limited
No price available for your selected region.

Paperback
By ECDE Panel
Smartbrain Publishers
No price available for your selected region.

Paperback
By ECDE Panel
Smartbrains International Publications
No price available for your selected region.

Paperback
By Booklyst
Booklyst Publisher
No price available for your selected region.

Paperback
By One Planet Publishers
One Planet