Skip to main content
Cover of Simu ya Musa na Hadithi Nyingine
Description

Musa anafurahi baada ya kupewa zawadi ya simu na wazazi wake. Atawajibika katika kazi zake ama simu itamtia mashakani? Je, wazazi wake watamchukulia Musa hatua gani akishindwa kuitumia simu yake vyema? Vitu vinapopotea darasani, kimoja baada ya kingine, wanafunzi wanashikwa na wasiwasi wasijue wamlaumu nani. Soma ufahamu jinsi marafiki wa Musa wanavyoshirikiana kutatua mzozo unaowakumba darasani ili kurejesha amani. Simu ya Musa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zilizoandikwa kwa ustadi mkubwa na zinazolenga kukuza maadili ya uwajibikaji, umoja na amani miongoni mwa wasomaji.

Book details
Format
Paperback
ISBN
9789914469448
SKU
9789914469448
Delivery type
physical
Publisher
Storymoja Publishers
Language
swh
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.

Book information

Simu ya Musa na Hadithi Nyingine

Author:
Richard Nyamundhe
Language:
swh

Paperback

1

This edition is currently out of stock.

Simu ya Musa na Hadithi Nyingine
Currently unavailableNo edition is available to buy right now.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Simu ya Musa na Hadithi Nyingine | eKitabu