
Nick Learns: We Should be Punctual
By Ekas Books
Queenex Publishers Limited
No price available for your selected region.

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 5, utapata: 1.Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya. Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika. 2.Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji. 3.Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja. 4.Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji. 5.Vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Paperback
Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 5 Mtaala wa 2024
Paperback
No price available for your selected region.
No price available for your selected region.
Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 5 Mtaala wa 2024
No price available for your selected region.