

Description
Ouma, amka. Kuna nini? Mbona huamki? “Saa za kwenda shuleni zimefika,” alisema babake Ouma. Baada ya kuugongagonga mlango kwa muda hakusikia chochote. Wazazi wake Ouma walimwambia mmoja wa wafanyakazi auvunje mlango wa chumba cha Ouma. Mlango ulipovunjwa, kila mmoja alipigwa na butwaa; Ouma hakuwa mle ndani.Dirisha la chumba chake pia lilikuwa wazi…. Barua ya Maisha ni kutabu usichoweza kukiacha hadi usome hadithi nzima.Hadithi hii itawasisimua wasomaji kwa jinsi ilivyosimuliwa kwa ufundi mkubwa.
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966341884
- SKU
- 9789966341884
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Moran Publishers
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Barua ya Maisha
Mogambi
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Barua ya Maisha
KES 406.00





