

Description
Bintu na Bintuntu ni hadithi inayozungumzia jinsi wanakijuwa Bintunke walivyosumbuliwa na majitu yaliyoishi kwenye msitu wa Bintudamu uliokuwa karibu na kiji hicho, Bwana Bintu anafunga safari hadi kijijini Bantu kupata ushauri wa kuyaangamiza majitu hayo. Anapata siri kuu kuwa majitu hupenda uji moto. Baada ya kuelezwa, mke wake Bintuntu anatumia ushauri huo na kuyaua majitu yote! Familia ya Bintuna Bintuntu inaleta ushindi mkubwa kisini Bintunke. Baada ya hapo usalama usafiri, elimu, utalii miongoni mwa mambo meng ya kimaisha yanaimarika.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966075093
- SKU
- 9789966075093
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Queenex Publisher
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Bintu na Bintutu
Tom Nyabeka
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Bintu na Bintutu
KESĀ 290.00





