Skip to main content
Cover of Habari za Mawio
Description

‘Habari za Mawio’ 8c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na hadithi ndani ya hadithi. Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, mbinu rejeshi, vichekesho, utani, sajili (lafudhi) ya lugha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua. Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kuwaheshimu watu wote, udugu, utamaduni, kujali wengine, haki na uadilifu, kazi na uwajibikaji, utu, afya (ukimwi, madawa ya kulevya), habari na mawasiliano. Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

More details
Format
Paperback
ISBN
9780195733808
SKU
9780195733808
Delivery type
physical
Publisher
Oxford University Press East Africa
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Habari za Mawio

Masoud Nassor

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Habari za Mawio

KES 340.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Habari za Mawio | eKitabu