

Description
‘Kiswahili Dadisi’ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa. Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. ‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwalimu, Gredi 5, kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu, utapata: 1. Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa mpya wa umilisi. 2. Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura. 3.Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo. 4.Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi. 5.Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa. 6.Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako. 7.Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9780195749069
- SKU
- 9780195749069
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Oxford University Press East Africa
- Language
- English
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwalimu Gredi ya 5
- Author:
- Jackline Ndege, Evans Osoro, Zephania Mucheria
- Language:
- English
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwalimu Gredi ya 5
KES 510.00






