

Description
Malaika na Baraka wamezoea kumwona ombaomba mbele ya duka la Bwana Pembe kila wanapopita hapo. Wenyeji hawajui jina halisi la ombaomba huyo kwa hivyo wamembandika jina 'Masumbuko'. Asubuhi moja, Malaika na Baraka wanamwona Masumbuko akiwa amejiku nyata kama kuku aliyenyeshewa. Wanapomdadisi, anawaambia kuwa alivamiwa na chokora. Wanamshawishi baba yao, ambaye ni daktari, amsaidie Masumbuko apate matibabu ya bure. Masumbuko anasitasita anapoambiwa wazo hilo la kutibiwa. Je, kulikoni? Hali hii inawachochea Malaika na Baraka kufanya uchunguzi ili kufumbua asili yake Masumbuko. Je, watafaulu?
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966347978
- SKU
- 9789966347978
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Moran Publishers
- Language
- Swahili
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Majasusi Chipukizi
Nandwa
- Language:
- Swahili
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Majasusi Chipukizi
KES 342.00





