Skip to main content
Cover of Nguva wa Shimoni
Description

Shani na Zani waliitika kwa kutingisha vichwa vyao, kisha wakakunja magoti na kutega masikio. Pazia la kitendawili kilichowazuga wakazi wa mji huo kwa miaka na mikaka sasa lilianza kufunguka taratibu. “Nguva wa Shimoni ana jina jingine la siri. Wakazi wengi wa mji huu hawalijui. Pengine hata baba yangu halijui maana sijawahi kumsikia akilitaja.” Babu Bonga akaanza kusimulia hadithi hiyo kwa udondozaji stadi. “Wazee wachache walioluka chumvi kama mimi wanalifahamu jina hilo. Amepewa jina hilo kutokana na maumbile na hulka yake. Vivyo hivyo, kutokana na mahali pale anapoibukia. Inasemekana nguva huyo ana siri moja inayo fungamana na utajiri mkubwa ajabu. Je, mme wahi kulisikia jina lake la pili?”

More details
Format
Paperback
ISBN
9789966630001
SKU
9789966630001
Delivery type
physical
Publisher
Moran Publishers
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Nguva wa Shimoni

Ali Attas

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Nguva wa Shimoni

KES 313.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Nguva wa Shimoni | eKitabu