

Description
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha Mwongozo wa Mwalimu Gredi ya 3 ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vitakusaidia kumwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kama ilivyopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatawachangamsha wanafunzi wako na kuwapa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789914444278
- SKU
- 9789914444278
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Oxford University Press
- Language
- English
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Oxford Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu Gredi ya 3
- Author:
- Oxford University Press
- Language:
- English
- Collection:
- CBE 2027 Book List
Paperback
Oxford Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu Gredi ya 3
KES 638.00






