

Description
Suki ni mwanafunzi wa darasa la sita. Alikuwa akijiwekea akiba ili anunue kitabu cha picha za wanyamapori wakati wa likizo. Kabla ya siku ya kwenda kununua kitabu kufika, tukio la ajabu linatokea. Mwizi anaingia nyumbani kwa kina Suki na kuiba kisanduku cha Suki cha kuhifadhia pesa na vitu vingine. Askari polisi wanaarifiwa kuhusu wizi huo, lakini hawafanikiwi kumkamata mwizi. Suki anaamua kufanya upelelezi ili ajue ni nani aliyeiba kisanduku chake. Je, atafanikiwa?
More details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966347961
- SKU
- 9789966347961
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Moran (E.A.) Publishers Limited
- Language
- Swahili
- Publication date
- 2015-01-01
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.
Book information
Pesa za Suki
- Author:
- Timothy Omusikoyo
- Language:
- Swahili
- Published:
- 2015
Paperback
Pesa za Suki
KES 345.00






