

Description
James amepewa ufadhili wa mafunzo kupitia soka ili kwenda Amerika na wanakijiji wanamuonea wivu. Rafiki yake wa kike, Janny, hata hivyo anatilia shaka uhusiano wa umbali unaoweza kuathiri penzi lao. Janny alipotekwa nyara na viumbe wasiojulikana, James alijitosa katika msitu wa ajabu akihatarisha maisha yake na ndoto yake ya Amerika ili kumtafuta Janny. Je,atafanikiwa kutimiza ndoto yake na kumpata Janny? Karibu katika ulimwengu wa SHAKA.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789914467444
- SKU
- 9789914467444
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Storymoja Publishers
- Language
- swh
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Shaka
- Author:
- Robert Mwangi
- Language:
- swh
- Collection:
- Popular Children's Books
Paperback
This edition is currently out of stock.






