Skip to main content
Cover of Sokwe wa Mlima ya Mwezi
Description

Mfalme alihisi ng’ambo za masikio yake zikidunda, zikiparibika kupasuka kutokana na mchagizo wa milio mikali ya mizimu nje ya madhabahu. Ndani aliona viuvi vya mizuka miwili ikirukaruka na kumzunguka yule mwana, mmoja ameshika kigongo. Halafu akaanza kuona miujiza. Toka kiononi hadi kichwani, umbo la mwana huyo likaumbuka na sura yake ikang’ong’onea. Manyoya yakaota nusu ya mwili wake. Viuvi vya mizuka vikazidi kuchafuka kama viempandwa na mizimu. Yule mwana mara akageuka sokwe mtu. Ndani ya kitabu hiki, msomaji ametunukiwa hadithi nyingine ya kusisimua iliyo na anwani, “Mbuyu wa Serengeti”. Vitabu vingine katika mfululizo huu: Nguva wa Shimoni Pepo za Mizimu Miujiza ya Majini

More details
Format
Paperback
ISBN
9789966630025
SKU
9789966630025
Delivery type
physical
Publisher
Moran Publishers
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Sokwe wa Mlima ya Mwezi

Ali Attas

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Sokwe wa Mlima ya Mwezi

KES 313.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Sokwe wa Mlima ya Mwezi | eKitabu