Skip to main content
Cover of Vipawa vya Hasina
Description

‘Vipawa vya Hasina’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: 1. Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia. 2. Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, takriri, kejeli, chuku, taswira, tanakali za sauti na picha za rangi zenye kusisimua. 3. Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisna ya nyumbani, shuleni, kijijini na jijini, malezi, mila ya ndoa za wasichana wadogo, afya, ujana na matatizo yake, umuhimu wa teknolojia, habari na mawasiliano, michezo, uwajibikaji, stadi za maisha, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu, haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.

More details
Format
Paperback
ISBN
9780195734560
SKU
9780195734560
Delivery type
physical
Publisher
Oxford Univeisty Press East Africa
Language
Swahili
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected format and destination.

Book information

Vipawa vya Hasina

Said Mohamed

Language:
Swahili
Collection:
CBE 2027 Book List

Paperback

1

Vipawa vya Hasina

KES 360.00

Print booksDelivery estimate shown at checkout.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Vipawa vya Hasina | eKitabu